“Nimeanza kuishabikia Yanga miaka ya nyuma kidogo,nimeifuatilia kwa muda mrefu . Ni klabu ninayoipenda kwa upekee sana. ”
“Yanga imekuwa sehemu ya maisha yangu , kila mara huwa nawaza nifanye kitu gani kuonesha mapenzi yangu kwa hii klabu”
“Edibily Jonas Lunyamila ndo sababu ya mimi kuipenda Yanga! Tangu miaka hiyo ya 90 mpaka leo Yanga ni sehemu ya maisha yangu.”
Main Sponsor
halooo, tuko hapa kutesaaaaa Dismiss