Tazama magoli yetu yote matatu kutoka kwa Kennedy Musonda, Clement Mzize na Jesus Moloko dhidi ya Geita Gold FC.